• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: China Electric Power Equipment kufanya utafiti wa usambazaji kawi Uganda

    (GMT+08:00) 2018-10-23 20:13:34

    Serikali ya Uganda imealika kampuni ya China Electric Power Equipment (CET) kukagua mfumo wake wa usambazi wa umeme.

    Baada ya ukaguzi huo wa CET, serikali itafahamu jinsi ya kufanya uwekezaji wa baadaye kwenye sekta hiyo.

    Mwaliko huo unafanyika baada ya CET kutuma ombi la kuwekeza dola bilioni 3 kwenye mifumo ya usambazi ili kuepusha hasara za kiufundi na pia kuboresha huduma.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako