• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China ampongeza Nguyen Phu Trong kwa kuchaguliwa kuwa rais wa Vietnam

    (GMT+08:00) 2018-10-23 20:35:23

    Rais Xi Jinping wa China ametuma salamu za pongezi kwa Nguyen Phu Trong , katibu mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha Vietnam (CPVCC) kwa kuchaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo.

    Katika salamu hizo, rais Xi amesema China na Vietnam ni majirani marafiki na wenzi muhimu wenye urafiki wa muda mrefu wa kijadi. Pia rais Xi amesema anaweka umuhimu mkubwa kwenye uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako