• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UEFA Champions League: Michezo hatua ya makundi yapigwa jana

    (GMT+08:00) 2018-10-25 09:12:14

    Michezo nane ya UEFA Champions League hatua ya makundi imepigwa usiku wa jana kwenye viwanja mbalimbali. Barcelona imecheza bila ya Lionel Messi imeibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Inter Milan, Monaco ikilazimishwa sare ya 0-0 na Club Brugge, PSV Eindhoven nayo imetoka sare ya 2-2 na Tottenham Hotspur, huku Borussia Dortmund ikiipa kichapo Atletico Madrid, Liverpool imeikandamiza Crvena Zvezda 4-0, Paris Saint Germain (PSG) ikitoka suluhu ya 2-2 na Napoli, nayo Galatasaray na Schalke 04 hazijaonyeshana ubabe baada ya kutoka sare ya bila kufungana, Lokomotiv Moscow imekubali kichapo toka kwa FC Porto.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako