• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KENYA:Mbegu mpya ya viazi chanzo cha hasara kwa wakulima

    (GMT+08:00) 2018-10-25 20:01:49

    Mradi wa shilingi milioni moja wa kilimo cha viazi umegonga mwamba katika kaunti ya Nyeri na kusababisha mamilioni ya hasara kwa wakulima.

    Hii ni baada ya serikali ya kaunti kupeana tani 18 za mbegu ya viazi kwa wakulima zilizokua na mashaka.

    Ilitarajiwa wakulima hao wangepata mavuno makubwa mwezi Agosti na Septemba kutokana na mbegu hiyo mpya lakini ilikua na matatizo.

    Mbegu hiyo ilitarajiwa kukabiliana na mvua lakini haikufikia viwango.

    Miongoni mwa magunia 360 ya mbegu mpya ya viazi ni 94 tu ndio zilizovunwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako