• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • MAELEZO YA PICHA: AS Vita yaifumua Al Masry 4-0 na kutinga fainali kombe la shirikisho, itakutana na Raja.

  (GMT+08:00) 2018-10-26 10:34:09

  MAELEZO YA PICHA: AS Vita yaifumua Al Masry 4-0 na kutinga fainali kombe la shirikisho, itakutana na Raja.

  Timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imefanikiwa kuingia fainali ya kombe la shirikisho Afrika baada ya ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Al Masry ya Misri jana uwanja wa Mastyrs de la Pentecoste mjini Kinshasa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako