• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtanzania kufanya majaribio 'NBA academy'

    (GMT+08:00) 2018-10-26 13:01:34

    Mchezaji wa timu ya taifa ya kikapu ya wanawake nchini Tanzania, Jessica Ngisaise amepata nafasi ya kufanya majaribio kwaajili ya kujiunga na kituo cha kukuza mchezo huo cha ligi ya kikapu ya Marekani NBA.

    Mchezaji huyo ameondoka nchini humo jumanne kwenda nchini Senegal kwaajili ya majaribio hayo na endapo akifanya vizuri basi atapata nafasi ya moja kwa moja ya kujiunga na 'NBA academy'.

    Jescar mwenye umri wa miaka 17 na nahodha wa timu ya taifa ya kikapu U18, amekua akifanya vizuri katika timu ya taifa na alichagulia katika timu ya All Stars kwenye mafunzo maalumu ya BWB yaliyofanyika Africa Kusini mwezi Agosti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako