• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mmiliki wa klabu ya Leicester City afariki ndani ya helkopta yake iliyoteketea kwa moto

    (GMT+08:00) 2018-10-29 10:41:57
    Imethibitishwa mmiliki wa klabu ya Leicester city ya uingereza Vichai Srivaddhanaprabha amefariki dunia baada ya helikopta aliyokuwa amepanda kuteketea kwa moto.

    Srivaddhanaprabha alikuwepo kwenye helikopta iliyoteketea kwa moto baada ya kulipuka na kuungua nje ya Uwanja wa King Power mjini Leicester, Leicestershire jana. Tukio hilo lilitokea dakika chache tu baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya England jana, Leicester City wakilazimishwa sare ya kufungana bao na 1-1 West Ham,

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako