Waziri mkuu wa Sudan Moataz Moussa ametangaza kwenye bunge la nchi hiyo kwamba serikali pia itachukua hatua zaidi za dharura kuokoa uchumi. Baadhi ya hatua hizo ni pamoja na kuanza kutoza ushuru bidhaa ambazo awali hazikutozwa ushuru au zilizotwa ushuru wa chini.
Uchumi wa Sudan umekuwa na ukuaji wa polepole tangu Sudan Kusini ijitenge mwaka 2011 huku raslimali nyingi ya mafuta ikiwa kwenye eneo hilo la Sudan Kusuni.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |