• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vijana 12 waliookolewa pangoni watua Old Trafford

    (GMT+08:00) 2018-10-30 08:55:42
    Jumla ya vijana 12 ambao waliokolewa pangoni nchini Thailand mwaka huu walikuwepo katika uwanja wa Old Trafford kuishuhudia Manchester United ikicheza na Everton.

    Vijana hao ambao ni wa kutoka timu moja ya vijana nchini Thailand waliokolewa kwa pamoja mwezi Julai baada ya kukwama kwa takribani wiki mbili katika pango lililojaa maji.

    Tukio hilo liliteka hisia za watu wengi sehemu mbalimbali duniani na kupelekea makamu mwenyekiti mtendaji wa klabu ya Manchester United, Ed Woodward kuwaalika kuhudhuria katika moja ya mchezo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako