• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ndege iliyosanifiwa na China yaanza kutoa huduma za safari za ndani

    (GMT+08:00) 2018-10-30 16:34:00

    Ndege iliyosanifiwa na China ARJ21 imeanza safari zake tatu za ndani.

    Shirika la Kutengeneza Ndege la China (COMAC) linalomilikiwa na serikali kuu limesema, shirika la ndege la Chengdu limeanza kutumia ndege hiyo katika safari zake tatu za ndani katika mpangilio wa safari za ndege za majira ya baridi ya mwaka huu na majira ya mchipuko ya mwaka ujao. Safari hizo ni kutoka Chengdu – Hengyang-Quanzhou, Chengdu – Taiyuan – Harbin, na Chengdu – Linfen – Harbin, zikiunganisha mji mkuu wa mkoa wa Sichuan ulioko kusini magharibi mwa China na miji mingine mikuu nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako