• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya watoto walioachwa vijijini na wazazi wao nchini China yapungua hadi milioni 6.97

    (GMT+08:00) 2018-10-30 16:52:16

    Takwimu mpya zilizotolewa na wizara ya mambo ya raia ya China zimeonesha kuwa, hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Agosti mwaka huu, idadi ya watoto walioachwa vijijini na wazazi wao imefikia milioni 6.97 ambayo imepungua kwa aslimia 22.7 ikilinganishwa na mwaka 2016 ambapo ukaguzi wa kwanza kuhusu idadi hiyo ulipofanyika.

    Naibu mkuu wa idara ya mambo ya jamii iliyo chini ya wizara hiyo Bibi Ni Chunxia amesema, sehemu mbalimbali zimefanya juhudi katika kuhimiza wazazi wanaofanya kazi mijini kurudi nyumbani na kufanya kazi katika maskani yao, na watoto waliokwenda na wazazi wao mijini wanasoma karibu na maeneo ambayo wazazi wao wanafanya kazi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako