• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping atoa salamu za rambirambi kwa mwenzake wa Indonesia kufuatia ajali ya ndege

    (GMT+08:00) 2018-10-30 19:16:53

    Rais Xi Jinping wa China leo ametoa salamu za rambirambi kwa mwenzake wa Indonesia Joko Widodo kufuatia ajali ya ndege ya shirika la ndege la Lion.

    Rais Xi ameeleza kusikitishwa na ajali hiyo iliyosababisha vifo vya watu 189, kwa niaba ya serikali ya China na watu wake, anatoa salamu za rambirambi kwa watu wanaofariki, na kutoa salamu za pole kwa wafiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako