• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Kagame atoa wito kwa makampuni ya kimataifa kuwekeza Afrika

    (GMT+08:00) 2018-10-31 19:25:04
    Rais wa Rwanda Paul Kagame jumanne alitoa wito kwa viongozi wa dunia kuunga mkono makampuni ya kimataifa kuwekeza barani Afrika kwani uvumbuzi wao katika kushughulia mahitaji ya Afrika unaweza kuchukua jukumu kubwa katika kuleta maendeleo barani humu.

    Rais Kagame alitoa ujumbe huo jijini Berlin,Ujerumani alipohudhuria mkutano wa kilele wa uwekezaji wa G20 ambao uliwaleta pamoja wafanyabiashara wa Ujerumani na wanachama wa nchi zilizo na ukaribu na Afrika.

    Alizungumza katika mkutano huo katika wadhifa wake kama Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika na pia Rais wa Rwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako