• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • FIFA: Timu 48 Kombe la Dunia 2022 kuchezwa Qatar

  (GMT+08:00) 2018-11-02 08:34:14

  Rais wa FIFA, Giani Infantino amesema wameamua kubadilisha uamuzi wa kuongeza timu zitakazoshiriki komba la dunia kutoka 32 hadi 48 na sasa michuano itafanyika mwaka 2022 badala ya 2026.

  Uamuzi huo wa mabadiliko utawalazimisha Qatar kushirikiana nan chi jirani katika kuandaa fainali za kombe la dunia mwaka 2022.

  Uamuzi huo awali ulitolewa kwa mashindano ya 2026 yatakayofanika katika nchi tatu Marekani, Canada na Mexico lakini Infantino anataka kufanya hivyo kwa fainali hizo za mwaka 2022.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako