• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gor Mahia yaifuata Everton, Uingereza

    (GMT+08:00) 2018-11-05 09:00:38
    Kikosi cha klabu ya Gor Mahia ya Nchini Kenya kimetua nchini Uingereza tayari kukutana na klabu ya Everton katika mechi ya kirafiki.

    Gor Mahia ni mabingwa wa kombe la SportPesa walipata nafasi hiyo ya kuwakabili Everton baada ya kuwafunga mabingwa wa Tanzania bara Simba SC kwa jumla ya magoli 2-1 kwenye mchezo wa fainali ya michuano hiyo iliyopigwa Juni 10 mwaka huu nchini Kenya.

    Mechi hiyo ya kirafiki itapigwa kesho Jumanne.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako