• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatazamiwa kuagiza bidhaa na huduma zenye thamani ya dola bilioni nne za Kimarekani kutoka nje katika miaka 15 ijayo

    (GMT+08:00) 2018-11-05 11:02:19

    Rais Xi Jinping wa China amesema huko Shanghai kuwa, katika miaka 15 ijayo, China inatazamiwa kuagiza bidhaa na huduma zenye thamani ya dola bilioni nne za Kimarekani kutoka nje, ambapo China itahimiza nguvu ambazo bado hazijatumika ili kuongeza uagizaji bidhaa kutoka nje, kuendelea kupanua ruhusa ya kuingia soko nchini humu, kujenga mazingira ya kiwango cha juu ya uendeshaji wa biashara, kujenga mazingira mapya ya hali ya juu ya kufungua mlango, kusukuma mbele ushirikiano wa pande mbalimbali na wa pande mbilimbili, na kuongeza nguvu ya China ya kuzifungulia mlango nchi za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako