• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atuma barua kwa mkutano wa kamati ya kimataifa ya mfumo wa utambuzi wa satilaiti

    (GMT+08:00) 2018-11-05 11:08:16

    Rais Xi Jinping wa China leo ametuma barua ya upongezi kwa mkutano mkuu wa 13 wa kamati ya kimataifa ya mfumo wa utambuzi wa satilaiti ya Umoja wa Mataifa uliofunguliwa leo mjini Xi'an mkoani Shaanxi, China.

    Rais Xi amesema mfumo wa utambuzi wa satilaiti ni mwundombinu muhimu unaotoa huduma kwa uzalishaji na maisha ya binadamu, na nchi mbalimbali duniani zinapaswa kuongeza ushirikiano na uratibu katika sekta hii. Ameongeza kuwa China inatilia maanani maendeleo ya mfumo wa utambuzi wa satilaiti, na kufanya ushirikiano wa kimataifa kwa hatua madhubuti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako