• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China pamoja na wakuu wa nchi za nje watembelea maonesho ya CIIE

    (GMT+08:00) 2018-11-05 19:26:24

    Rais Xi Jinping wa China leo pamoja na wakuu wa nchi za nje wametembelea Maonesho ya kwanza ya uagizaji bidhaa ya kimataifa ya China CIIE mjini Shanghai.

    Wakuu wa nchi mbalimbali wanaoshiriki kwenye maonesho hayo wameeleza imani yao kwa mustakabali wa maendeleo ya China, pia wamesema nchi zao zinapenda kushirikiana na China kuhimiza maendeleo ya biashara huria duniani.

    Habari nyingine zinasema, rais Xi leo kwa nyakati tofauti amekutana na waziri mkuu wa Russia na rais wa Czech wanaoshiriki kwenye maonesho hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako