• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Matokeo ya Uchaguzi klabu ya Simba SC

    (GMT+08:00) 2018-11-06 09:51:05
    Wakati wanachama wa klabu ya Simba ya Dar es salaam inayojulikana kama Wekundu wa Msimbazi wakiandika historia kwa kufanya uchaguzi wa kwanza chini ya mfumo wa kampuni ambao utaendesha klabu hiyo, Swedi Nkwabi amechaguliwa kwa kishindo kuwa mwenyekiti sambamba na wajumbe watano akiwemo Asha Baraka Iron Lady aliyeshinda kwa kishindo.

    Simba SC sasa inahesabika kama kampuni baada ya kufanikiwa kuingia katika mfumo wa mabadiliko ya uwekezaji wa hisa, ambapo mfanyabiashara Mohammed Dewji ndio alishinda zabuni ya uwekezaji ndani ya klabu hiyo hivyo maamuzi ya timu hiyo kwa sasa yatakuwa yanajadiliwa ndani ya bodi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako