• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania bingwa Taekwondo, Kenya nafasi ya pili

  (GMT+08:00) 2018-11-06 09:51:38
  Mashindano ya kombe la ubingwa la Taekwondo yamemalizika jana jioni kwa timu ya polisi ya Arusha Tanzania kunyakua ubingwa huo na kuzipiku timu zote zilizoshiriki mashindano hayo ya siku mbili yaliyofanyika jijini Arusha.

  Timu hiyo inayojumuisha wachezaji wanaume, wanawake na watoto wanaoanzia miaka mitano imeweza kujinyakulia medali 27 toka makundi yote matatu, mshindi wa pili imekamatwa na timu ya chuo kikuu cha Kilifi toka Kenya ambayo imepata medali 15.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako