• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bayern yamvutia kasi Ramsey

  (GMT+08:00) 2018-11-06 09:52:22
  Bayern Munich inapewa nafasi ya kumsajili kiungo wa Arsenal, Aaron Ramsey katika dirisha dogo Januari, mwakani. Ramsey amepewa ruksa ya kuondoka Arsenal, baada ya klabu hiyo kushindwa kumpa mkataba mpya utakapomalizika mwishoni mwa msimu huu. Bayern inatarajiwa kuanza mazungumzo na nyota huyo wa kimataifa wa Wales, anayewindwa pia na klabu kubwa Ulaya.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako