• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KIKAPU: Juhudi, Rising Star mabingwa wapya ligi ya vijana NBA

  (GMT+08:00) 2018-11-07 09:04:52
  Timu ya Juhudi Lakers na Rising Star Warriors zimetawazwa kuwa mabingwa wapya mashindano ya vijana ya mpira wa kikapu (Junior NBA) kwenye fainali za tatu za ligi hiyo ambazo zimechezwa kwenye uwanja wa Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam.

  Lakers walikuwa wa kwanza kutwaa ubingwa upande wa wasichana baada ya kuifunga Tusiime Bulls kwa pointi 16-1. Rising Star Warriors ilitwaa ubingwa kwa kuifunga Tusiime kwa pointi 26-14 kwenye fainali za vijana chini ya miaka 16 kwa wasichana.

  Fainali ya tatu ya ligi ya vijana ambayo pia inachezwa kwenye nchi zingine 13 barani Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako