• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Droo ya michuano ya kutafuta ubingwa yaahirishwa

  (GMT+08:00) 2018-11-07 09:05:31

  Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kimesema limeahirisha droo ya michuano ya kutafuta ubingwa klabu bingwa na shirikisho msimu wa mwaka 2019 kwa sababu maalum, droo hiyo ilitarajiwa kufanyika mjini Rabat Morocco jumapili iliyopita.

  Habari zinaeleza kuwa klabu za Morocco zilitaka kuleta sintofahamu juu ya namna droo hiyo itakavyokuwa kwa kuruhusu klabu zake kushiriki katika michuano hiyo huku kanuni za CAF haziruhusu klabu tatu toka nchi moja kushiriki katika mashindano ya kuwania taji moja.

  Mashindano yam waka huu yanatarajiwa kuanza Novemba 27 na kumalizika Juni 1, 2019.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako