• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya ndege za umma nchini China kuzidi 20,000 hadi kufikia mwaka 2035

    (GMT+08:00) 2018-11-07 10:00:03

    Sekta ya ndege za umma nchini China imedumisha maendeleo ya kasi katika miaka ya hivi karibuni. Kwa mujibu wa waraka uliotolewa jana na serikali, idadi ya ndege za umma nchini China itazidi 20,000 hadi kufikia mwaka 2035. Kutokana na maendeleo ya kasi ya sekta hiyo, thamani ya soko la shughuli husika itafikia dola bilioni 153.8 za kimarekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako