• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi atuma barua ya pongezi kwa mkutano wa 5 wa mtandao wa internet

    (GMT+08:00) 2018-11-07 16:58:59

    Rais Xi Jinping wa China ametuma barua ya pongezi kwa Mkutano wa 5 wa Dunia kuhusu Mtandao wa Internet ulioanza hii leo mjini Wuzhen, mkoa wa Zhejiang, mashariki mwa China.

    Katika barua hiyo, rais Xi amesema inapaswa kuongeza kasi ya maendeleo ya uchumi wa kidijitali na kuboresha mfumo wa usimamizi wa mtandao wa internet duniani ili uendelee kwa njia sahihi na inayoeleweka. Amesema licha ya kuwa na mazingira tofauti na kukabiliwa na changamoto mbalimbali, nchi zote duniani zina haja sawa ya kuboresha uchumi wa kidijitali, maslahi katika kushughulika na changamoto zinazotokana na usalama wa mtandao wa internet, na mahitaji ya usimamizi bora wa mtandao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako