Maafisa wakuu wa kampuni ya Guangdong Silk-Tex Group walikutana na Rais Uhuru Kenyatta jijini Shanghai,China,wakati wa maonyesho ya kibiashara jijini Shanghai.
Kampuni hiyo imepanga kuanzisha shughuli zake eneo la Athi River,na kuanzisha shamba la kukuza hariri.
Kulingana na taarifa kutoka Ikulu ya Rais,shamba hilo litakuwa la ekari 8,237 na kubuni nafasi 300,000 za kazi kwa wakenya.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |