• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: ZFA yawafyekelea mbali waamuzi waliochezesha Jang'ombe Boys dhidi ya KMKM

  (GMT+08:00) 2018-11-08 08:44:05
  Chama cha soka visiwani Zanzibar (ZFA) kimewafungia waamuzi wawili waliochezesha mchezo namba 43 wa ligi Kuu ya Zanzibar, kati Jang'ombe Boys dhidi ya KMKM kwa muda wa Mwezi mmoja.

  Waamuzi hao ni mwamuzi wa kati Ali Ramadhan Ibada (kibo) na Mwamuzi msaidizi Mustafa Hasira wamefungiwa baada ya kushindwa kuzitafsiri vyema sheria 17 za Soka hususan sheria namba 11 ya mpira wa kuotea (Offside) katika mchezo uliochezwa juzi uwanja wa Amani ambapo Jang'ombe Boys wakatoka sare ya 1-1 dhidi ya KMKM.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako