• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Balozi wa China afafanua jamii ya Afrika na China yenye hatma ya pamoja

  (GMT+08:00) 2018-11-08 16:11:15

  Balozi wa China nchini Botswana Zhao Yanbo amezitaka nchi za Afrika kufanya kazi pamoja na China ili kujenga jamii yenye mustakabali wa pamoja.

  Akizungumza na wasomi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Botswana hapo jana, balozi Zhao amefafanua uhusiano wa China na Afrika, na China na Botswana, na kuweka wazi jinsi ya kuwa na uhusiano wa karibu kati ya China na Afrika. Balozi huyo amesema pande hizo mbili zimefungua njia ya ushirikiano wa kunufaishana wenye umaalum wa kipekee.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako