• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bidhaa zilizoingizwa China kutoka nje ya nchi zaongezeka kwa asilimia 20.1 kwa mwezi Oktoba

  (GMT+08:00) 2018-11-08 17:21:18

  Bidhaa zilizoingizwa nchini China zimeongezeka kwa asilimia 20.1 kwa mwezi Oktoba ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana, huku kasi ya ukuaji ikipita makadirio yaliyotolewa.

  Takwimu zilizotolewa na Idara Kuu ya Forodha ya China zimeonyesha kuwa, pato lililotokana na biashara limefikia dola za kimarekani bilioni 33.76 mwezi uliopita. Katika miezi 10 ya mwanzo ya mwaka huu, biashara ya nje ya China ilifikia dola za kimarekani trilioni 3.63, ikiwa ni ongezeko la asilimia 11.3 ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako