• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marais wa Marekani na Ufaransa kukutana

  (GMT+08:00) 2018-11-08 17:22:43

  Rais Donald Trump wa Marekani anatarajiwa kufanya mkutano wa pande mbili na rais Emmanuel Macron wa Ufaransa wakati wa ziara yake nchini Ufaransa mwishoni mwa wiki hii.

  Taarifa iliyotolewa na ikulu ya Marekani imesema, rais Trump atajumuika na viongozi wengine katika hafla ya kumbukumbu ya miaka 100 tangu kumalizika kwa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia tarehe 11 mwezi huu. Rais Trump atakutana na mwenzake wa Ufaransa na kujadilia masuala kadhaa ikiwemo usalama wa Ulaya, uhusiano wa kibiashara wa pande hizo mbili, na hali ya Mashariki ya Kati.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako