• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Okwi mchezaji Bora, Pluijm kocha bora, waiteka TPL

  (GMT+08:00) 2018-11-09 08:43:13

  Striker wa kimataifa toka nchini Uganda anayekipiga klabu ya wekundu wa msimbazi Simba ya Dar es salaam ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Oktoba wa ligi kuu Tanzania Bara.

  Taarifa ya shirikisho la soka Tanzania (TFF) imesema, Okwi amekuwa mchezaji bora kwa kuwashinda wachezaji wengine waliokuwa wakigombea tuzo hiyo Elius Ambokile wa Mbeya City na Yahya Zayed wa Azam fc.

  Nafasi ya kocha bora imekwenda kwa Hans Pluijm wa Azam fc ambaye amewashinda makocha wakuu wenzake Mbelgiji Patrick Aussems wa Simba na Ramadhan Nsazwarimo wa Mbeya City.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako