• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Ronaldinho kuzuru Kenya Leo

  (GMT+08:00) 2018-11-09 08:44:16
  Nyota wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil Ronaldimho Gaucho atakuwa nchini Kenya wikiendi hii kushuhudia program maalum ya soka, vilevile atakuwa mgeni rasmi katika mechi ya fainali ya Super 8 champions league.

  Mchezaji huyo anatarajiwa kuwasili nchini humo leo ijumaa, mbali na jijini Nairobi, Ronaldinho pia anatarajiwa kuhudhuria hafla maalum ya kimichezo itakayofanyika uwanja wa Moi mjini Kisumu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako