• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • NDONDI: Mayweather 'Money' akana kutaka kuzipiga na dogo wa miaka 20 raia wa Japan

  (GMT+08:00) 2018-11-09 08:45:06
  Baada ya jana kusambaa kwa habari kuwa Mayweather atazipiga na dogo wa Japan, Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather amekanusha taarifa hizo za kukubali kupigana na mwanandondi wa Japan, Tenshin Nasukawa.

  Mayweather ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa kijamii wa Instagram.

  Bingwa huyo mwenye umri wa miaka 41, ambaye inasemekana alikuwa akitarajiwa kupigana na Tenshin mwenye umri wa miaka 20 Desemba 31 mwaka huu jijini Tokyo amekanusha habari hizo na kusema hakuwahi kuwa na makubaliano na mwanamasumbwi huyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako