• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kobil yanunua vituo vya mafuta vya Delta

    (GMT+08:00) 2018-11-09 20:38:34

    KenolKobil amesaini mkataba wenye thamni ya zaidi ya dola milioni 10 ili kupata maduka 33 ya rejareja ya mafuta kutoka Delta Petroleum nchini Uganda na Rwanda.

    Mpango, ambao ulisainiwa jana Nairobi, Kenya unataka kuongeza kasi ya kampuni ya Kenya nchini Uganda na Rwanda.

    Mpango huu utaona KenolKobil ikuchukua vituo vya mafuta zaidi ya 23 kutoka Delta Petroleum nchini Uganda na 10 kutoka Delta Rwanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako