Manchester United imechapwa na watani wao Manchester City kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uingereza (EPL) mabao 3-1. Man City inaendelea kuongoza msimamo ligi hiyo ikiwa na alama 32 huku Man United ikiwa nafasi ya 8 na alama 20.
Matokeo ya mechi zingine, Chelsea fc aka the blues wamelazimishwa sare ya 0-0 na Everton, huku Liverpool ikiifumua Fulham mabao 2-0, nao Arsenal aka the gunners wamekubali sare ya 1-1 toka kwa Wolverhampton
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |