• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Esperance yaituliza Al Ahly na kutwaa ubingwa Afrika

    (GMT+08:00) 2018-11-12 09:08:24
    Esperance ya Tunisia imefanikiwa kupindua matokeo ya mwishoni mwa wiki kwa kuichapa Al Ahly ya Misri mabao 3-0 katika mechi ya pili ya fainali na kutwaa ubingwa wa ligi ya mabingwa Afrika kwa jumla ya mabao 4-3.

    Esperance iliyotwaa ubingwa mwaka 1994 na 2011, itawakilisha bara la Afrika katika michuano ya klabu bingwa ya dunia itakayochezwa Desemba mwaka huu katika nchi moja wapo ya falme za kiarabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako