• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bondia Mtanzania apoteza pambano Urusi

    (GMT+08:00) 2018-11-12 09:09:06
    Bondia mtanzania Idd Mkwera amepoteza pambano lisilokuwa la ubingwa uzito wa Kilogram 66 Welter weight nchini Urusi katika mji wa Ekaterinburg, baada ya kupigwa round ya 3 maeneo ya sehemu za siri katika pambano la round 8 dhidi ya bondia Makhmud Agaipov kutoka Uzebekstan.

    Promota wa mchezo wa ngumi Tanzania aliyekuwa ameambatana na Idd Mkwera anayejulikana kwa jina la Jay Msangi, ameeleza hujuma zilizofanyika dhidi ya bondia wake ni pamoja na kupigwa ngumi sehemu za siri lakini muamuzi hakutilia maneno, kisheria mchezo wa ngumi hauruhusu kumpiga bondia kichogoni na sehemeu za siri pia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako