• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtanzania awafunika Wakenya na Norway

    (GMT+08:00) 2018-11-12 09:09:27
    Nyota wa kimataifa wa riadha nchini Tanzania Emannuel Giniki amewafunika wakenya baada ya kuibuka mshindi wa mbio za Haydom zilizofanyika Manyara Tanzania.

    Mbio hizo za kilomita 21 zilishirikisha wanariadha toka Tanzania, Kenya na Norway, Giniki aliibuka mbabe kwa kutumia saa 1:05:33 baada ya kuwaacha mbali wapinzani wake.

    Paul Panga alikamata nafasi ya pili na nafasi ya tatu imeshikiliwa na Mkenya Abraham Too, mkenya mwingine Noah Kemei alimaliza akiwa wa nne

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako