• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China kuhudhuria mkutano usio rasmi wa 26 wa APEC na kufanya ziara Papua New Guinea, Brunei na Philippines

    (GMT+08:00) 2018-11-12 09:41:22

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang ametangaza kuwa, kutokana na mwaliko wa gavana wa Papua New Guinea Bw Bob Dadae na waziri mkuu Bw Peter O'Neill, kiongozi wa Brunei Bw Hassanal na rais Rodrigo Duterte wa Philippines, rais Xi Jinping wa China atafanya ziara ya kiserikali katika nchi hizo tatu kuanzia tarehe 15 hadi 21 mwezi huu, na kukutana na viongozi wa nchi za visiwani za Pasifiki zilizoanzisha uhusiano wa kibalozi na China nchini Papua New Guinea.

    Aidha, Rais Xi Jinping atahudhuria mkutano usio rasmi wa 26 wa viongozi wa Jumuiya ya ushirikiano wa kiuchumi ya Asia na Pasifiki APEC utakaofanyika tarehe 17 na 18 mjini Port Moresby nchini Papua New Guinea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako