• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China aondoka Beijing kuelekea Singapore ziarani na kuhudhuria mikutano ya viongozi ya ushirikiano wa Asia Mashariki

    (GMT+08:00) 2018-11-12 10:48:22

    Kutokana na mwaliko wa waziri mkuu wa Singapore Bw. Li Xianlong, waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang leo asubuhi ameondoka Beijing na kuelekea ziarani nchini Singapore, ambako pia atahudhuria mkutano wa viongozi wa China na Jumuiya ya Nchi za Asia ya Kusini Mashariki ASEAN, mkutano wa 21 wa viongozi wa ASEAN na China, Japan na Korea Kusini na mkutano wa 13 wa wakuu wa nchi za Asia Mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako