• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waamuzi wa burundi kuchezesha mechi ya Taifa Stars na Lesotho

    (GMT+08:00) 2018-11-13 09:14:50
    Shirikisho la kandanda barani Afrika, CAF limewataja waamuzi kutoka nchini Burundi kuchezesha mechi ya kuwania kufuzu fainali za Afrika baina ya Lesotho na Tanzania.

    Mechi hiyo ya Kundi L itachezwa Novemba 18, Mjini Maseru na itakuwa mechi muhimu kwa timu zote mbili. Waamuzi walioteuliwa kuchezesha mchezo huo ni mwamuzi wa kati, Thierry Nkurunziza ambaye atasaidiwa na waamuzi wasaidizi Jean Cloude Birumushahu na Pascal Ndimunzigo.

    Tanzania inashika nafasi ya pili katika kundi L ikiwa na alama 5 baada ya kucheza mechi nne, Uganda inaongoza kundi hilo ikiwa na alama 10.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako