• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kocha wa Amavubi atetea msimamo wa kuteua vijana katika mchezo wa AFCON

    (GMT+08:00) 2018-11-13 09:15:34
    Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Rwanda, Amavubi, Vincent Mashami ametetea msimamo wake wa kuteua wachezaji vijana wakati huu ikijiandaa kwa mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Afrika dhidi ya Jamhuri ya Afrika ya Kati.

    Mchezo baina ya Timu hizo utachezwa Novemba 18 uwanja wa Huye mjini Kigali huku Rwanda ikiwa haina matumaini yoyote ya kufuzu fainali baada ya kufanya vibaya katika mechi zake nne za kwanza katika Kundi H.

    Mashami amesema uamuzi wake unalenga kutoa nafasi kwa wachezaji vijana kutoa mchango wao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako