• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SAFA yaahidi kuwamwagia mamilioni wachezaji wakishinda AWCON

    (GMT+08:00) 2018-11-13 09:16:12
    Shirikisho la Soka la Afrika Kusini (SAFA) litamtuza kila mchezaji jumla ya shilingi 1,141,397 kwenye timu ya Banyana Banyana ikishinda kombe la Afrika la wanawake (AWCON) litakaloandaliwa nchini Ghana kuanzia Novemba 17 hadi Desemba mosi mwaka huu.

    Timu zitakazoshiriki michuano ya mwaka huu ni wenyeji Ghana, Nigeria ambao ni mabingwa watetezi, Cameroon, Afrika Kusini, Algeria, Mali, Zambia na Equatorial Guinea, ambayo ilipokonywa tiketi na kupewa Kenya kabla ya kurudishiwa tena.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako