• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WAKULIMA KUUZA KWA MTANDAO

    (GMT+08:00) 2018-11-13 19:16:19
    Wakulima wa nchi za Afrika Mashariki hasa vijana watanufaika na mfumo wa kuuza na kununua mazao kwa njia ya simu za mkononi. Novemba 7 ulitiwa saini mkabata wa ushirikiano kati ya Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (LIC), mradi wa EAC Youth Agribusiness App na asasi ya Maendeleo ya Vijana (NYDT).

    Meneja mradi Ramadhani Joel alisema juzi mjini hapa kuwa lengo ni wakulima husa vijana kufanya biashara katika mazingira mazuri.

    Awali, mtaalamu wa sera wa LIC, Peter Elias, alisema wamepata shida kujua takwimu za mazao lakini baada ya mfumo huo itakuwa rahisi kuzipata.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako