• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • BIASHARA YAATHIRIKA NA MGOMO WA MAGARI

    (GMT+08:00) 2018-11-13 19:16:36
    Kwa siki ya pili tangu msako mkali wa magari ya uchukuzi, biashara mbali mbali imeathirika pakubwa sana na mamilioni ya pesa kupotezwa. Wafanyibiashara ambao hutegemea usafiri wa umma wametatizika pakubwa sana, wengine wakilazimika kwenda kazini kwa miguu. Aidha, baadhi yao hawajaenda kazini kwa kukosa usafiri. Magari machache yaliyopo, yameongeza nauli, swala ambalo wananchi wamelaani vikali. Licha ya biashara mbalimbali kuathirika, bado serikali imeshikilia msimamo wake na kusema kuwa haitalegeza kamba kwenye sheria za barabarani. Walioathirika sana ni wachuuzi ambao hutoa bidhaa zao katika soko la gikomba pamoja na wamiliki wa magari ya umma.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako