• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • ANZANIA: MAGUFULI APONGEZWA

    (GMT+08:00) 2018-11-13 19:16:54
    Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Lindi, wamempongeza Rais John Magufuli kwa kwa uamuzi wa kununua korosho kwa bei inayomletea tija mkulima.

    Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake wilayani Nachingwea Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Lindi, Majid Lupanda, amesema hatua iliyochukuliwa na Rais ni hatua ya kishujaa sana na imeonyesha wazi kuwa ni moja ya mfulululizo wa matendo ya kishujaa yanayofanywa na Rais kwa masla mapana ya taifa na si maslahi binafsi

    Jana, Rais John Magufuli alitangaza kusitisha ununuzi wa korosho kwa wafanyabiashara ambapo serikali imezinunua korosho hizo zote kwa bei ya kuanzia Sh 3,002 hadi 3,016 kuanzia leo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako