• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wanawake changamoto katika mchezo wa Karate Zanzibar

  (GMT+08:00) 2018-11-14 10:18:25

  Mwenyekiti wa chama cha Karate Zanzibar Abdalla Hussein Rashid 'Sensei Dula, amesema bado wanakabaliwa na changamoto kubwa ya mahudhurio ya wanawake katika mazoezi ya mchezo huo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo za kimasomo na wengine kuolewa.

  Sensei Dula amesema upo muamko kwa baadhi ya wanawake kushiriki mchezo wa Karate ingawa hali hiyo inafanya idadi ya wanawake wanaojiunga na mchezo huo kuwa ndogo.

  Sambamba na hilo, aliwataka wanawake kuamka na kufanya mazoezi kwa vile mazoezi pia ni afya ambayo yanasaidia kujikinga na maradhi mbalimbali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako