• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CECAFA-Hakuna michuano ya Chalenji mwaka huu

    (GMT+08:00) 2018-11-14 10:18:44
    Baraza la vyama vya soka Afrika Mashariki na kati (CECAFA) limethibitisha mashindano ya kombe la Chalenji yaliyokuwa yaanze mwishoni mwa mwezi huu hahayafanyika tena.

    Katibu mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye amesema wameshindwa kupata nchi iliyokuwa tayari kuwa mwenyeji wa fainali hizo baada ya Kenya kujitoa na shirikisho la soka la Kenya (FKF) kutangaza kuwa na uhaba wa fedha na kuwa mwenyeji.

    Musonye amethibitisha kuwa Uganda watakuwa wenyeji wa mashindano ya Chalenji CECAFA U-20 yatakayoanza desemba 15 hadi 23.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako