• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu ya taifa ya vijana U-23 uso kwa uso na Burundi

    (GMT+08:00) 2018-11-14 10:18:59
    kikosi cha timu ya vijana ya Tanzania chini ya umri wa miaka 23 kimeondoka jana asubuhi kwenda nchini Burundi ambapo itavaana uso kwa uso na Burundi leo katika mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza fainali za kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) yanayotarajia kufanyika Novemba mwakani nchini Misri.

    msafara wa timu hiyo umeongozwa na rais wa shirikisho la soka Tanzania (TFF) Wallace Karia, na wachezaji 29, pamoja na walimu na benchi la ufundi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako