• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu saba zathibitisha kushirikia mashindano ya Tenisi ya mezani Afrika Mashariki

    (GMT+08:00) 2018-11-14 10:19:37
    Timu saba zimethibitisha kushiriki mashindano ya nne ya ubingwa wa Afrika Mashariki wa mchezo wa tenisi ya mezani ya vijana itakayoanza Novemba 30 hadi Desemba 2 mjini Kigali Rwanda.

    Kwa mujibu wa shirikisho la mchezo wa tenisi la Rwanda (RTTF), kupitia kwa katibu mkuu wake bwana Innocent Bahati amezitaja nchi zitakazoshiriki mashindano hayo ni Tanzania, Uganda, Kenya, Mautius, Djibouti, Somalia na wenyeji Rwanda.

    Huku wakisubiri timu kutoka Comoro, Madagascar, Eritrea, Ethiopia, Sudan na Sudan kusini kuthibitisha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako